TIMU ya Arsenal imeibuka kifua mbele kwa bao 4 -1 dhidi ya Everton kwenye mechi ya Robo Fainali ya Kombe la FA iliyopigwa Emirates hivi punde! Kwa matokeo hayo , Arsenal wametinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment