Chelsea imeendeleza ubabe na kuendelea kubaki kileleni baada ya kuifunga tottenham hotspur magoli 4 bila majibu. mabao yaliyofungwa na Eto'o 56'; Hazard 60' pen; Ba 88', 90' yalitosha kabisa kuwaweka pazuri vijana wa darajani.
No comments:
Post a Comment