Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya
Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya Young
Africans leo imeweza kufuzu raundi ya pili ya
mashindano hayo kufuatia kuibuka na ushindi
wa mabao 5-2 dhidi ya wenyeji timu ya
Komorozine de Domoni katika mchezo
uliofanyika jioni ya leo katika dimba la Uwanja
wa Sheikh Said Ibrahim Mitsamihuli Comoro.
No comments:
Post a Comment