Saturday, November 29, 2014

Arsenal vs westbrom

Full team: Martinez, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Ramsey, Cazorla, Welbeck, Alexis, Giroud
Subs: Macey, Gibbs, Bellerin, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Podolsk

Muda wa mechi

Saa 9:45

Friday, November 28, 2014

Tuesday, November 25, 2014

Huyu Kurudi tena arsenal?

Baada ya safu ya ulinzi kuwa mbovu kuna umbea kwamba yule beki wa arsenal thomas vermaleen akarudi tena kwa mkopo kuokoa jahazi letu.

Monday, November 24, 2014

Mashabiki wapoteza matumaini na wenger

Je unajua mashabiki  zaid ya 87% wamepoteza matumaini na kocha baada ya vipigo vya mara kwa mara...

Ingia hapa angalia

http://www.footballfancast.com/football-news/arsenal-in-crisis-as-shocking-vote-confirms-fan-have-lost-faith-in-their-manager

Friday, June 27, 2014

mla nyama za watu uwanjani huyu hapa

ni luis  suarez..

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis
Suarez amefungiwa mechi tisa na shirikisho la
kandanda duniani Fifa baada ya kupatikana na hatia
ya kumng'ta mlinzi wa timu ya Italia Giorgio Chiellini
kwenye mechi yao ya kombe la dunia nchni Brazil.